Nilivamiwa na kibaka akanijeruhiwa na kuninyang'anya simu.Baada ya hapo nilikwenda hospital bila PF 3 na kupata matibabu na kurudi nyumbani bila kwenda Polisi.Wakati kidonda kinaanza kupona nikakutana na mtuhumiwa wangu.Baada ya kumzidi nguvu nikamfikisha kituo cha Polisi lkn wamekataa kumpokea kwa madai kwamba sikuwa na PF 3 na pia wataamini vipi kwamba yeye ndi
ye aliyenivamia? Msaada wa kisheria nifanyeje?
ye aliyenivamia? Msaada wa kisheria nifanyeje?