dawa ipi naulizia ?hilo sio jipu ni bawasir wahi dawa mapema sio mazuri hayo madude yanakera
nakushauri, nenda kwenye maduka ya dawa za asili tena yale makubwa si yale ya uchochoroni dawa zipo nzuri tu
ukiwaelezea tatizo lako tu watakupa aina za dawa.dawa ipi naulizia ?
poa mkuu kesho ntachek ! shukranukiwaelezea tatizo lako tu watakupa aina za dawa.
kuna dawa inaitwa ZAIN Bawasir binafsi ilinisaidia sana mpk leo hayajanirudia tena hayo madude
mkuu kiunoni kwenye makalio na kat ya mkndu na pumbKiungo gani kinapata maumivu mkuu?
Mkuu hilo jipu ndio linawezakua chanzo ila ni bora pata muda ufike kituo cha afya kwa utafiti zaidimkuu kiunoni kwenye makalio na kat ya mkndu na pumb
poa mkuu shukranMkuu hilo jipu ndio linawezakua chanzo ila ni bora pata muda ufike kituo cha afya kwa utafiti zaidi
poa mkuuPaka whitedent au collgate