Kupata maumivu wakati wakukaa

Kupata maumivu wakati wakukaa

bilu97

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
1,410
Reaction score
1,560
habari wakuu nna tatizo lakupat maumivu wakati wakukaa ila sio muda wote nimejichunguza kuna kijipu uchungu karibu na njia ya haja kubwa ila hakijaiva na nikikigusa hakiumi inaweza kuwa ndio kinacholeta maumivu au kuna lengine ?

Mwenye kujua msaada plz
 
hilo sio jipu ni bawasir wahi dawa mapema sio mazuri hayo madude yanakera

nakushauri, nenda kwenye maduka ya dawa za asili tena yale makubwa si yale ya uchochoroni dawa zipo nzuri tu
 
Mkuu mimi pia nilihisi hivyo ila mwanzo kilikuwa kama kipele 2 cha kawaida ila sasa hivi ni kama kijipu na kina usahaa
 
hilo sio jipu ni bawasir wahi dawa mapema sio mazuri hayo madude yanakera

nakushauri, nenda kwenye maduka ya dawa za asili tena yale makubwa si yale ya uchochoroni dawa zipo nzuri tu
dawa ipi naulizia ?
 
kiunoni saa nyingine makalio na hadi kati ya makende na mkndu
 
dawa ipi naulizia ?
ukiwaelezea tatizo lako tu watakupa aina za dawa.

kuna dawa inaitwa ZAIN Bawasir binafsi ilinisaidia sana mpk leo hayajanirudia tena hayo madude
 
ukiwaelezea tatizo lako tu watakupa aina za dawa.

kuna dawa inaitwa ZAIN Bawasir binafsi ilinisaidia sana mpk leo hayajanirudia tena hayo madude
poa mkuu kesho ntachek ! shukran
 
Back
Top Bottom