inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 597
- 651
Wadau naombeni msaada mke wangu tangu ajifungue hajazidi siku 20. Nikazidiwa nikalala nae je atapata mimba
acha uhuni wewe si ujipige punyeto? we mtu hata mbunye haijarudi unataka kupiga katerero..kheeee
Wadau naombeni msaada hivi inawezekana mwanamke amabye amejifuungua hajazidi siku 20 akakutana kimwili akapata mimba.
Naomba ufafanuzi wa kitaaluam siyo porojo
Hivi hata huogopi? Kizazi bado kibichi na hakijarudi vizuri sehemu yake, unathubutu kweli...huyo mwanamama nae hamnazo
Kuna njia nyingi za kuridhishana kama umezidiwa hata clinic wanaelezwa,nimewashangaa!!
Mtu bado ana harufu ya kinyenge unamlala,mbali na kupata mimba hairuhusuwi
Subir mpaka amalize angalau 40
Ahsante kwa kuniita shost....
ndio kuna uwezekano wa kupata mimba kwasababu kizazi kimesharudi sehemu yake....ila ukiwa unanyonyesha full time kuna uwezekano wa asilimia 98 wa kutokupata mimba katika miezi 6 ya mwanzo kama mzazi hajapata siku zake na ananyonyesha usiku pia!Wadau naombeni msaada hivi inawezekana mwanamke amabye amejifuungua hajazidi siku 20 akakutana kimwili akapata mimba.
Naomba ufafanuzi wa kitaaluam siyo porojo
Isije ikawa unamaanisha 0713
Basi niwie radhi kama haikumaanishwa hivyo.Hivi kweli mawazo yako ndo yameishia hapo?
Umeniskitisha