Kupata mimba wakati unanyonyesha

Kupata mimba wakati unanyonyesha

hapa kazi ipo,mwanamke hatakiwi kuingiliwa kimwili hadi baada ya siku 40 za kujifungua,la mimba sina uhakika,imebidi nirudie mara mbili mbili kusoma kama ni 20 au 200,hizi clinic za kina mama inabidi na kina baba walazimishwe kwenda,kama mambo yenye ndio hivi
 
​Uwezekano huo upo.
 
Mkuu siku 20 ni chache sana mkeo hajapona vizuri. Hata kama pamekauka, kiuno na mgongo bado bwana. Ebu jitahidi kuvumilia kidogo. Lol!
 
Hivi hata huogopi? Kizazi bado kibichi na hakijarudi vizuri sehemu yake, unathubutu kweli...huyo mwanamama nae hamnazo

Kuna njia nyingi za kuridhishana kama umezidiwa hata clinic wanaelezwa,nimewashangaa!!

Mtu bado ana harufu ya kinyenge unamlala,mbali na kupata mimba hairuhusuwi
Subir mpaka amalize angalau 40

Nimeipenda lugha yako
 
Back
Top Bottom