Kupata mimba

Nyakwaratony

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
573
Reaction score
140
habari za leo wana jamvi!

Naomba kuuliza hivi unaweza kupata ujauzito siku ya (12) tangu kuanza kwa period iliyopita? Mf. umeanza period tarehe 02/11 then uka-do trh 14/11 je unaweza kupata ujauzito?
 
Yes U can.... very easily. (Window period to conceive starts D[SUB]10[/SUB] goes up to D[SUB]16)[/SUB]
 
Inategemea mzunguko wako wa hedhi una siku ngapi, kama ni siku 28 jibu ni ndio, uwezekano ni mkubwa.
 
Yes U can.... very easily. (Window period to conceive starts D[SUB]10[/SUB] goes up to D[SUB]16)[/SUB]

hEBUA ANGALIA NI SIKU 12 SORY MWANZONI NILIANDIKA 14.. ME MZUNGUKO WANGU NI SIKU 26
 
kwa ninachokifahamu ni kwamba, ovulation inachukua nafasi siku ya 14 ya mzunguko wako iwapo mbegu za kiume zikizifikia ovums. ndio maana unashauriwa usifanye ngono isiyo salama kuanzia siku ya 11......haya niyajuayo subiri wataalam zaidi wanakuja
 
ukiona unatamani udongo hesabu kitu kimiani
 
habari za leo wana jamvi!

Naomba kuuliza hivi unaweza kupata ujauzito siku ya (12) tangu kuanza kwa period iliyopita? Mf. umeanza period tarehe 02/11 then uka-do trh 14/11 je unaweza kupata ujauzito?

kama mzunguko wako ni wa siku 26, na ulianza period tarehe 02/11 then unakuwa kwenye ovulation tarehe 14/11. na wewe ulifanya tendo la ndoa tarehe 14/11 ambayo ndo siku yenyewe, kama wewe na partner wako hamna matatizo ya uzazi mjiandae kujaza dunia.

siku ya leo utakuwa na ujauzito wa wiki 6 na siku 3

nawatakia malezi mema ya kijacho....
 
Kama mzunguko wako ni wa siku 26 inamaana yai lilitoka siku ya 12 kwani huchukua exactly siku 14 tangu ovulation mpaka next period. kwahiyo kama ulikutana na partner wako siku hiyo ya 12 basi jiandae kuwa mama mtarajiwa na una 80% ya kupata baby boy. Hongera sana.
 
Uko sawa kabisa yaani...tarehe 12 uko katika hatari ya kupata mtoto tena wa KIUME..hivyo wewe pima tu sasa ujihkikishie ati!!
 
Jamani nimenunua kale kakipimo nimepima mwenye we ila naona kamstari kamoja tu. it means negative. Ngoja nisubiri subiri period iki goma kabisa nakwenda kwa mtabibu anipime ......
 
Jamani nimenunua kale kakipimo nimepima mwenye we ila naona kamstari kamoja tu. it means negative. Ngoja nisubiri subiri period iki goma kabisa nakwenda kwa mtabibu anipime ......

mzunguko wa Siku 26? Hebu fafanua vizuri mara ya mwisho kuona period ilikuwa tareh 2/11 au tarehe 2/12?

Kama ni tar 2/12 ukifanya self test hakitokubali kwa sasa
 
Kama umepima na uko negative toa hofu.Mimba huna lakini hicho kipimo ulichotumia ni maarufu sana kwasasa!
 
habari za leo wana jamvi!

Naomba kuuliza hivi unaweza kupata ujauzito siku ya (12) tangu kuanza kwa period iliyopita? Mf. umeanza period tarehe 02/11 then uka-do trh 14/11 je unaweza kupata ujauzito?

Kama hakukuwa na sababu nyingine ya kusababisha mzunguko kuchelewa; basi kwa sasa siku 26 zimeshapita za mzunguko wako, ila kwa vile umeshapima usiwe na mashaka. Kwa taarifa kipimo cha mimba kinasoma positive hata baada ya siku moja, kumbe kama hakuna hakuna, ila sijui kipimo hicho maana Tanzania mambo ya vitu fake hayahepukiki, kumbe subiri utajua uhakika. Hongera
 
Ndio kuna uwezekano mkubwa saaana kwa wale wenye mzunguko wa 28 days siku exacly ni "day14" ila probability inaanza kuanzia day 12hadi 16,😛oa
 
kama mlitumia condom vizuri hawezi.
 
Kwani unataka mimba au hutaki? maana tusije kuwa tunakupa hongera kumbe wewe unalia huko

kwa sasa itakwua imeniwahi ingawa nataka cos nilitaka nimalize masomo kwanza ila kama imo ntakubaliana nayo make mista anapenda watoto!
 
helo wanajamii nami nitatulieni utata uu.mzunguko wangu ni cku 28,nlpata mp tar 9/10 nikado tar 15/10 nikapata ujauzto,ilikuwaje hapo?na nitaweza kujfungua mtoto wa kike au kiume,tafadhal nisaidien wataalam.uu mwez wa tatu nafksha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…