Kupata mimba

Kupata mimba

Ndo ushalengwa tayari! muulizu Dr sasa jinsi ya kuitoa!?
 
habari za leo wana jamvi!

Naomba kuuliza hivi unaweza kupata ujauzito siku ya (12) tangu kuanza kwa period iliyopita? Mf. umeanza period tarehe 02/11 then uka-do trh 14/11 je unaweza kupata ujauzito?


tayari kujifungua au bado?
 
Back
Top Bottom