Kupata mimba

Kupata mimba

nojo

Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
90
Reaction score
10
habari zenu wanajf! naombeni kuuliza,ivi is it pocbo kupata kumpa mwanamke mimba(ujauzito) endapo kila siku unasex nae bila kupumzika japo siku moja?msaada ndugu wajuzi wa mambo
 
habari zenu wanajf! naombeni kuuliza,ivi is it pocbo kupata kumpa mwanamke mimba(ujauzito) endapo kila siku unasex nae bila kupumzika japo siku moja?msaada ndugu wajuzi wa mambo

Kama unatamwaga mbegu za kiume zilizo na uwezo wa kurutubisha yai ndani ya UKE wa mwanamke na mwanamke huyo asiwe mgumba, hakika mwanamke huyo atapata mimba.
 
Watu 8 amekujibu vizuri sana.
Eeenenda kwa Amani.
 
ushaharibu eeeh....ndiyo ni possible tena huyo mwanamke atakuwa na mimba ya mapacha
 
kwan watu 8 zile mbegu za kiume hukomaa kwa muda gan ili ziwe na nguvu na afya?
 
Back
Top Bottom