Kupata mkopo bank kwa kutumia nyumba

mavado

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2014
Posts
1,153
Reaction score
798
Jamani msaada nahitaji kupata mkopo bank, lakini nina nyumba yenye leseni ya makazi, sina biashara, je kuna bank yoyote inaweza toa mkopo?? Msaada kwa anayejua please
 
Mkopo sio kitu kizuri. Kwani una shida gani? Au ni kitu gani kinakupelekea kutaka kuchukua mkopo..? Hembu tudokeze tutakusaidia
 
Last edited by a moderator:
Mikopo sio mizuri kwa waafrika hasa watanzania coz hawana adabu na pesa za Mikopo ndo maana wanafeli mbona Indians na ngozi nyeupe ndo inayiwasaidia kuinuka kiuchumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…