Kupata msaada juu ya matatizo ya kiakili....

asante sana mkuu
 
Ni mambo gani hayo unayoyafanya mbona umekuwa mfichivu mno au isije kuwa unakunya kwenye masufuria na kuyainjika motoni
 
Ungesema hayo mambo ufanyayo ili kuwasaidia na wengine.
Kuna watu hapa wana matatizo ila hawajijui na tunawapoteza hivi hivi.
 
Mkuu hii ni hatua ya kwanza katika kupata Tina,Yaaani mtu kujigundua Kisha kutafuta msaada.

Maana kihalisia tatizo la akili ni pale kupungua sana au kuongezeka sana kwa yale mambo Ambayo amezoea kuyafanya.mfano kulala sana,kula kidogo au kutopenda kula kabisa, mzigo wa mawazo usio na majibu kwa wakati husika nk.


Hatua ya pili ni utafute mtu ambae unamuamini na UMUELEZEE kwa marefu na mapana yale unayopotia Maishani na kwa namna gani unayaona ni changamoto.

Moja ya gharama unayopaswa kutoa ni muda wako,Acha haraka kabisa utakapoenda kuonana na huyo mtu,itenge ni maalum kwa ajili ya kutafuta msaada,hivyo jiandae kwa hilo.

Kingine ni kuwa muwazi kwa yule utakayeonana nae na akakupa muda wake kukusikiliza,Mwambie vile unajisikia,ulianza lini,yapi yanatokea na nini unatamani kukipata kama suluhisho.


Kwa lolote karibu sana PM
 
Asante sana mkuu....
 
Soma hii Post in thread 'Vichaa huona nini?' Vichaa huona nini?
 
Naomba kujua kama huwa unatabia ya kuzungumza mwenyewe mara kwa mara hii ni dalali kuuu
Yaani mkuu details ni nyingi sana siwezi kuziweka hapa, lakini nimepitapita sana mtandaoni nimeona hizi dalili zinausiana na tatizo linaitwa 'covert narcissistic personality disorder'
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Tupo wengi mkuuuu wala hata usiwaze ni jambo la kawaida hilo
 
😊😊 unavua nguo unakimbiza watu na mawe,

Sorry sikuwa na nia ya kuchekaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kuna mahali tulikaa jamaa sijui aliittwa Ebyas e bana akivuta bange zake huko anashika panga anapeperusha hewani hapo mtaa mzima kitimtimu, anapeperusha panga hewani wote mnajifungia.
Wasela wenzie sasa
Tulikua Unatoka unamkalisha mnapiga story fresh tu.
Mtaa umetulia watu wamo ndani.
Maana wanajua ukitoka huko unakutana na mwamba🀣🀣🀣.
Huku si tunatoka tunampelekea matunda tunakaa nae kijiweni tunakula mapera na maembe mabichi story nyiingi.
Ukimuuliza anasema mi nazingua tu🀣🀣🀣
Panga analirudisha kwa bibi yakeπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Sasa unashindwa kuelewa yule jamaa alikua na hasira na wananchi au vp?
Punguza bangi mkuu huna kichaa chochote.
 
Waone wana saikolojia
 
Chizi Maarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…