Kupata mtu ambaye atakae kuwa mume wangu baadae

Kupata mtu ambaye atakae kuwa mume wangu baadae

Retired Sister

Senior Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
182
Reaction score
224
Jina langu: irene
Jinsia yangu: mwanamke
Umri wangu: 32 - 35
Elimu yangu: chuo
Natafuta: rafiki mvulana kwa ajili ya long term relatioship mpaka ndoa
Miaka yake: 33 - 38
Nchi atokayo: tanzania,kenya ,uganda
Nchi ninayoishi: Tanzania
Muonekano wangu: kawaida
Umbo lake: asiwe mnene sana, wala asiwe mrefu sana wala mfupi,wala mwembamba
Kabila yake: awe kabila yoyote, mchaga au mpare watapewa kipaumbele zaidi
Dini yangu: mkristo
Dini yake: awe mkristo, mlutheran au mkatoliki
Sigara (mimi): sivuti sigara
Sigara (yeye): asiwe mvutaji wa sigara
Pombe (mimi): sinywi pombe hata kidogo
Pombe (yeye): asiwe anakunywa au awe anakunywa kidogo ilaasiwe mlevi
Oa/olewa (mimi): sijawahi kuolewa
Oa/olewa (yeye): awe hajawahi kuoa
Mtoto (mimi): sina
Mtoto (yeye): ni sawa tu ila awe na maelezo ya kuridhisha
Simu yangu: nitatoa baadaye tukifahamiana zaidi
E-mail yangu: irenemkapa@yahoo.com


Maelezo zaidi: napenda rafiki mstaarabu, mpole, mwenye hekima na busara. Pia awe na malengo kwa ajili ya maisha ya baadaye, asiyekuwa muasherati , mwenye upendo wa kweli pia mwenye nia ya kujenga na kuwa na familia bora iliyojaa upendo. awe tayari kupima ukimwi
 
Kila raheri ila kaa chonjo manake kama ni pepa limeliki usije ukarudi hapa huku unalia tena.Subiri wachaga na wapare wanamalizia mbege wanakuja
 
duh mi na vigezo yote but ni under 32 ???
 
Naomba usubiri hadi mwaka kesho nitimize miaka 32 kama kuna uwezekano huo.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Unapata tuu, jipe moyo mwenyezi Mungu atakusaidia kupata atakayekutunza.
 
Kila la heri, maombi yatakuja mengi ila mwombe Mungu umpate atakayekufaa!!!

Genekai!
 
CV,au biography hiyo? Yaani imeandaliwa vizuri hadi raha..
Hakuna swali dada Retired Sister hapo...
 
Last edited by a moderator:
Ok!..

all the best,nimekosa sifa ila kama utataka mtu wakati unamsubiria huyo apatikane nipo,hahahahahaha!..
 
Back
Top Bottom