Kupata mtu ambaye atakae kuwa mume wangu baadae

Kupata mtu ambaye atakae kuwa mume wangu baadae

Hiyo surname yako imeniogopesha nways kila la kheri

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
fat_man_sdd.jpg
 
Mi nina 32 yrs, ila ni Mhehe, vp ntakufaa? Kama jb ni yes chek na mimi kwa namba 0659751370 tutengeneze maisha.
 
age yako sijakuelewa, 32-35 ndo nini? Preta usihofu mimi ni wako!
 
Last edited by a moderator:
jina langu: irene
jinsia yangu: mwanamke
umri wangu: 32 - 35
elimu yangu: chuo
natafuta: rafiki mvulana kwa ajili ya long term relatioship mpaka ndoa
miaka yake: 33 - 38
nchi atokayo: tanzania,kenya ,uganda
nchi ninayoishi: tanzania
muonekano wangu: kawaida
umbo lake: asiwe mnene sana, wala asiwe mrefu sana wala mfupi,wala mwembamba
kabila yake: awe kabila yoyote, mchaga au mpare watapewa kipaumbele zaidi
dini yangu: mkristo
dini yake: awe mkristo, mlutheran au mkatoliki
sigara (mimi): sivuti sigara
sigara (yeye): asiwe mvutaji wa sigara
pombe (mimi): sinywi pombe hata kidogo
pombe (yeye): asiwe anakunywa au awe anakunywa kidogo ilaasiwe mlevi
oa/olewa (mimi): sijawahi kuolewa
oa/olewa (yeye): awe hajawahi kuoa
mtoto (mimi): sina
mtoto (yeye): ni sawa tu ila awe na maelezo ya kuridhisha
simu yangu: nitatoa baadaye tukifahamiana zaidi
e-mail yangu: irenemkapa@yahoo.com


maelezo zaidi: napenda rafiki mstaarabu, mpole, mwenye hekima na busara. Pia awe na malengo kwa ajili ya maisha ya baadaye, asiyekuwa muasherati , mwenye upendo wa kweli pia mwenye nia ya kujenga na kuwa na familia bora iliyojaa upendo. Awe tayari kupima ukimwi

haaaaa nasema

hiiiiiiiiiiiiii ndioooooooooooooooooooooo yangaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ukitaka mchumba amia yangaaaaaaaaaaaaaaaa ukitaka mume aaaaaamia yangaaaaaaaaaaaaaaa mke nenda simba
mama mume umepata
 
All the best ... MUNGU akutangulie, na akupe hitaji la moyo wako! I know how it feels to wait for somebody for so long, na asitokee ... naamini kiu uliyonayo itakatwa soon ...
 
Umetisha mkuu hata sijui jinsi ulivyounganisha Dar Young Africa na Retired sister!...
haaaaa nasema

hiiiiiiiiiiiiii ndioooooooooooooooooooooo yangaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ukitaka mchumba amia yangaaaaaaaaaaaaaaaa ukitaka mume aaaaaamia yangaaaaaaaaaaaaaaa mke nenda simba
mama mume umepata
 
Mara ya tatu leo sister anatoa shida ya kilove connect.....men hebu kueni serious!!!!!!
 
Back
Top Bottom