Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
mikoani hawaangalii sana mambo ya ela.
kule unaeza kuwa na ela yako na ukalala mwenyewe wasikuangaikie labda ubahatishe malaya wale wanaojiuza au wauza bar km wapo, maana kuna mikoa kuwapata ni mbinde.
mkoani umaaruf wa mtu na connections ndo kwao vinamata zaidi. ukiwa maaruf au unajulikana upo karibu na majamaa fulan wenye jina kubwa apo mkoani unapewa asali bila kinyongo.
wanapeana kwa kujuana zaidi kuliko ela.
ukikaa mkoani kimkakati ni sehem cheaper sana utat.0mba uchoke mwenyewe.
hlf hakuna uhusiano wa kut.0mba na ela maana km starehe wanapata zaidi hao wanaopewa izo ela. tumewaendekeza tu uku mijini.