Kupata pasport ya nchi yoyote duniani,kwa njia za udanfanyifu,ni kosa kisheria?

Kupata pasport ya nchi yoyote duniani,kwa njia za udanfanyifu,ni kosa kisheria?

Wasomali sio waarabu weusi wengi tu
Sasa mbona wapo waarabu,wanamiliki pasport za U k na America na kwingine kunakopokea wakimbizi,passport zao zinaonyesha wamezaliwa Somalia.Na pia wanakuja Tanzania,mtu ndani ya mwska anaweza kuja zaidi ya mara moja.Tuwe makini,huwenda hawa wanawarubuni watanzania kwa pesa,ili wafanye matukio yasio ya kawaida,na wapo pia wanawake,wengine wanapitia nchi ya Kenya,kwa ndege,wakiingia Tanzania,ndio wanaondoka na ndege kuna Dubai,na kurudi zao UK.Wapo mpaka wanawake,kwa nini mamlaka husika hawawafuatilii hawa wenye passport zenye mashaka,ana passport ya U.K,kuzaliwa ni Somalia,ana asili ya kiarabu,kisomali hakijui.
 
Hujui tofauti ya waarab na wasomali?
Mimi hapa naongelea wenye asili ya kiarabu wanaomiliki passport za nje kama UK,bila kujali ni mwanamme au mwanamke,na passport zao,zimeandikwa wamezaliwa Somalia,wakati hawajui kisomali.
 
Ugaidi ni ajenda ya wakuu wa dunia wao ndio utuletea mdundo watakao,sisi tunaimba TU mara ugaid,ebola,corona,tabia ya nchi nk.
Mbona wale mashekhe waliolipua kanisa,juzi hapa wamehukumiwa.Inawezekna hawa mashekhe,wametumiwa na hawa hawa wanaokuja,kwa kuwapa pesa,wafanye vitendo vya kigaidi na hujuma nyingine tusizozijua.
Mamlaka zinazohusika,ingekuwa wanawachunguza hawa wenye passport za UK au America au kokote kule,zilizoandikwa amezaliwa Somalia.Hata wafanyiwe maswali kwa kisomali,kupitia wanaojua kisomali,alizaliwa mji gani wa Somalia,alisoma shule gani Somalia,wazazi wake na majirani aliko zaliwa huko Somalia ni kina nani nk.
 
Tungeomba vyombo husika ifuatilie suala hili,ili dunia iwe na amani.Vyombo vya usalama,vya nchi zote duniani,itoe matangazo,ya kuwa kama kuna mtu au watu,unawashuku kupata uraia,passport ya nchi yoyote duniani kiujanja,uripoti kwa njia gani na zipi.

Nani unamfahamu unatamani wasichukue yake?

Maana wa bongo wengi ni wa nchi zingine za EA tangu zamani.

Na wa nchi zingine nao wana yao

Hao wote akili wametumia kujiongeza katika maisha yao.
 
Ikiwa mtu kapata passport ya nchi ,kwa mfano Amerika au Uingereza,kwa kujifanya ni mkimbizi,amekimbia vita anakotoka,akaenda moja kati ya nchi zunazopokea wakimbizi,na akasema amezaliwa katika nchi hiyo yenye vita,akapewa hadhi ya ukimbizi,wakati hakuzaliwa katikq hiyo nchi,wala hata kuwahi kuishi katika hiyo nchi,na mpaka akapewa passport ya nchi,ya America au U.K.,na sehemu ya kuandika alikozaliwa,ni nchi hiyo yenye vita,wakati hakuzaliwa katika nchi hiyo,amezaliwa nchi nyingine.Na zipo documents,za kuonyesha kazaliwa kwingine,je ni kosa kisheria?
Fraud kama hizi,ndio zinazalisha magaidi.Mara nyingi magaidi wanatumia mwanya huu.Kwa nini serekali nyingi za dunia,hazisambazi maelezo nq picha za watu waliopata passport,kupitia nchi za ulaya,kwa kuweza watu kuwatambua hawa watu,kuwa sio wazaliwa wa hizo nchi?
Wanaofahamu sheria watufahamishe,inawezekana ikawa dini fulani inaulaumiwa,lakini kumbe tatizo liko katika ufuatiliaji wa hawa wanaopewa passport bila kufuatilia ,kiuchunguzi.
Asilimia kubwa ya taarifa za kwenye pasipoti ni za uongo japo ni ndogondogo.
 
Back
Top Bottom