Kupata pasport ya nchi yoyote duniani,kwa njia za udanfanyifu,ni kosa kisheria?

Wasomali sio waarabu weusi wengi tu
Sasa mbona wapo waarabu,wanamiliki pasport za U k na America na kwingine kunakopokea wakimbizi,passport zao zinaonyesha wamezaliwa Somalia.Na pia wanakuja Tanzania,mtu ndani ya mwska anaweza kuja zaidi ya mara moja.Tuwe makini,huwenda hawa wanawarubuni watanzania kwa pesa,ili wafanye matukio yasio ya kawaida,na wapo pia wanawake,wengine wanapitia nchi ya Kenya,kwa ndege,wakiingia Tanzania,ndio wanaondoka na ndege kuna Dubai,na kurudi zao UK.Wapo mpaka wanawake,kwa nini mamlaka husika hawawafuatilii hawa wenye passport zenye mashaka,ana passport ya U.K,kuzaliwa ni Somalia,ana asili ya kiarabu,kisomali hakijui.
 
Hujui tofauti ya waarab na wasomali?
Mimi hapa naongelea wenye asili ya kiarabu wanaomiliki passport za nje kama UK,bila kujali ni mwanamme au mwanamke,na passport zao,zimeandikwa wamezaliwa Somalia,wakati hawajui kisomali.
 
Ugaidi ni ajenda ya wakuu wa dunia wao ndio utuletea mdundo watakao,sisi tunaimba TU mara ugaid,ebola,corona,tabia ya nchi nk.
Mbona wale mashekhe waliolipua kanisa,juzi hapa wamehukumiwa.Inawezekna hawa mashekhe,wametumiwa na hawa hawa wanaokuja,kwa kuwapa pesa,wafanye vitendo vya kigaidi na hujuma nyingine tusizozijua.
Mamlaka zinazohusika,ingekuwa wanawachunguza hawa wenye passport za UK au America au kokote kule,zilizoandikwa amezaliwa Somalia.Hata wafanyiwe maswali kwa kisomali,kupitia wanaojua kisomali,alizaliwa mji gani wa Somalia,alisoma shule gani Somalia,wazazi wake na majirani aliko zaliwa huko Somalia ni kina nani nk.
 
Tungeomba vyombo husika ifuatilie suala hili,ili dunia iwe na amani.Vyombo vya usalama,vya nchi zote duniani,itoe matangazo,ya kuwa kama kuna mtu au watu,unawashuku kupata uraia,passport ya nchi yoyote duniani kiujanja,uripoti kwa njia gani na zipi.

Nani unamfahamu unatamani wasichukue yake?

Maana wa bongo wengi ni wa nchi zingine za EA tangu zamani.

Na wa nchi zingine nao wana yao

Hao wote akili wametumia kujiongeza katika maisha yao.
 
Asilimia kubwa ya taarifa za kwenye pasipoti ni za uongo japo ni ndogondogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…