Kupata ujauzito

Kupata ujauzito

Aisatu

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
781
Reaction score
333
Hi Wanajamvi
Jamani naombeni msaada na kuwauliza kwamba mke wangu tulikutana kwajili ya kutengeneza mtoto cha ajabu amenda mp cku 30 badala ya 32 ambayo ilikuwa normal.Na hajapata maumivu a tumbo kama ilivyokawaida mp zingine.maanake tulikuwa tunasubiria mp ya 32 akashitukia ananza kabla cku mbili.swali hapo amepata ujauzito au bado? Nipo njia panda naomba msaada wenu.
 
Wakuu naombeni ushauri wenu maana kapima hakuna kitu na tulikutana kwenye cku za hatari
 
Mimba ili itunge kunavitu vingi ndani yke, nenda hospital na mkeo kaonane na daktari Wa wanawake mkafanyiwe vipimo na atawaelewesha
 
usipanic mkuu jipange kwa mwez mwingine ila haya mambo cjui huwa yanakuaje yani namna hamu ya kupata mtoto inavyozidi kuwa kubwa ndio posibility ya kukosa inavyoongezeka. Unavyolala na mkeo usiwaze mimba fanya kwa enjoyment utashtukia tu tayari imo
 
usipanic mkuu jipange kwa mwez mwingine ila haya mambo cjui huwa yanakuaje yani namna hamu ya kupata mtoto inavyozidi kuwa kubwa ndio posibility ya kukosa inavyoongezeka. Unavyolala na mkeo usiwaze mimba fanya kwa enjoyment utashtukia tu tayari imo
Labda cjajua kwa umbali tulionao kwani tulisafiri kila mmoja toka mbali huko tukajakutana sehemu moja na ilikuwa cku mbili tuu labda kwa vile na uchovu wa safari nao unachangia
 
la muhim mkamwone doct ili awashaur kitaalam.pia kuna wengine wanapobadilisha mazngira gafla mwili wa mpokeaji(mwanamke)unakosa utayar wa kupokea, nlishauriwa hvyo baada ya kutafuta kwa miez kama cta hv, ambapo tulikua tunakutana mazngr tofaut na tunayoish
 
Jaribu tena mwezi ujao,ikishindikana nitafute pm kwa ushaur zaid.
 
Back
Top Bottom