Labda cjajua kwa umbali tulionao kwani tulisafiri kila mmoja toka mbali huko tukajakutana sehemu moja na ilikuwa cku mbili tuu labda kwa vile na uchovu wa safari nao unachangiausipanic mkuu jipange kwa mwez mwingine ila haya mambo cjui huwa yanakuaje yani namna hamu ya kupata mtoto inavyozidi kuwa kubwa ndio posibility ya kukosa inavyoongezeka. Unavyolala na mkeo usiwaze mimba fanya kwa enjoyment utashtukia tu tayari imo