Kupata utajiri siyo suala la bahati, ni sayansi kama zilivyo sayansi nyingine

Sahau, hilo halitakaa litokee milele. Labda uingize mwenyewe mitaala ya nyumbani kwako. Shulen ni rahisi kuingiza mitaala ya ushoga kuliko hilo na misaada ya vitabu na vyoo na mabafu shuleni mkapewa. KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI🤣
Hakika yake umesema, out of mada wewe ni Bill Lugano?
 
Mwambie atafute pesa huyo jamaa, aache ujinga wa kutumia biblia kuhalalisha vitu vya kijinga na umaskini
Hahaha unataka utajiri na ufalme wa mbingu kwa pamoja? Kuna kitu huelewi.
 


Wewe ni tajiri kiasi gani hivi sasa??
 
Upi msingi wa ulinganifu wako kati ya utajiri na umaskini,zaidi nimejifunza juu ya hamasa,katika kufanya jambo,ila hamasa pekee haitoshi bila njia ya kufikia lengo lililopewa hamasašŸ¤”
 
Tusidanganyane. Fedha hazina kanuni. Kama zingekuwa na kanuni wasomi waliosoma mambo ya fedha ndio wangekuwa ma-bilionea hapa duniani maana hao wanajua kanuni na sheria za fedha.
Hata sangomaaa lazima akuvute upande wake,ili yake yaende piašŸ˜€
 
Tusidanganyane. Fedha hazina kanuni. Kama zingekuwa na kanuni wasomi waliosoma mambo ya fedha ndio wangekuwa ma-bilionea hapa duniani maana hao wanajua kanuni na sheria za fedha.
Ndugu usidanganyike. Tofautisha elimu ya cheti cha kutafutia ajira na elimu ya fedha. Huipati huko unakodhania inatolewa. Changamka uinue kichwa chako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…