Kupata zawadi Diamond Karanga

Kupata zawadi Diamond Karanga

karim jr

Member
Joined
Nov 30, 2014
Posts
33
Reaction score
18
Wadau nawasalimu,

Leo nimenunua Diamond Karanga na nimejikuta nimeshinda Carton ya Diamond Karanga. Naomba mnijuze nitawezaje kupata zawadi yangu.

Mwisho kabisa nawatakia kila la heri kwa mwaka mpya 2018.
 
Back
Top Bottom