Kupatikana kwa Loss Report Mtandaoni: Kongole sana Jeshi la Polisi

Trubarg

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2020
Posts
4,388
Reaction score
7,223
Ni hivi, loss report inapatikana online mwanzo mwisho. Huna haja ya kwenda kituo cha polisi kupanga foleni.

Mwanzo swala hili lilikua kama ni nightmare coz lilikuwa linainvolve alot of excessive procedures ambazo zilicost muda na fedha. Now just your smartphone shughuli imeisha.

Hongera sana, taasisi nyingine muige huo mfano.
 
Umehadithiwa hujawahi kufanya hiyo kitu.....baada ya process zote polisi lazima

Toka zamani kama una namba ya nida. Unamaliza mwenyewe.. labda kama iwe loss report ya mali kubwa. Ila hizi za kupoteza vitambulisho huitajik kwenda kituoni
 
Hii ni update mpya mkuu...haichagui mali
 
Ni hivi, loss report inapatikana online mwanzo mwisho. Huna haja ya kwenda kituo cha polisi kupanga foleni.

Mwanzo swala hili lilikua kama ni nightmare coz lilikuwa linainvolve alot of excessive procedures ambazo zilicost muda na fedha. Now just your smartphone shughuli imeisha.

Hongera sana, taasisi nyingine muige huo mfano.
Geshi ra porishi rimerara sana
 
Back
Top Bottom