Zurie
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 2,012
- 5,571
Haya jamani yule Sosholaiti wa Kenya kazama kwa Mchaga wa Kishumundu (Sina uhakika). Kaka huyo ajulikanaye kama Danford Kessy amemteka mrembo huyo ambaye amekiri kuwa ni muda mrefu amekuwa akijilinda lakini sasa amefika bei kwa Mkaka huyo Mreeembo (sijui mrembo wa kiume anaitwaje).
Hapa mi naona Punda kapata Punda! Maana Danny anasifika kwa Mapowder, Huddah nae Mange alisema eeti anasafirisha Mapowder.
Halafu za mtaani zasema kuwa Danny ni Marioooooooooooooo na akikosa wa kumlea anapiga hata mishe za U-Kaoge!.. Huddah asipoangalia atahonga mtaji woote wa Lipstick!...