Kupatwa kwa Huddah: Azama kimapenzi kwa mchagga!

Kupatwa kwa Huddah: Azama kimapenzi kwa mchagga!

Haya jamani yule Sosholaiti wa Kenya kazama kwa Mchaga wa Kishumundu (Sina uhakika). Kaka huyo ajulikanaye kama Danford Kessy amemteka mrembo huyo ambaye amekiri kuwa ni muda mrefu amekuwa akijilinda lakini sasa amefika bei kwa Mkaka huyo Mreeembo (sijui mrembo wa kiume anaitwaje).

Hapa mi naona Punda kapata Punda! Maana Danny anasifika kwa Mapowder, Huddah nae Mange alisema eeti anasafirisha Mapowder.

Halafu za mtaani zasema kuwa Danny ni Marioooooooooooooo na akikosa wa kumlea anapiga hata mishe za U-Kaoge!.. Huddah asipoangalia atahonga mtaji woote wa Lipstick!...

View attachment 407200 View attachment 407201 View attachment 407202 View attachment 407203 View attachment 407204
Hiki kitoto nadhani wamefanya plastic surgery mpaka kwenye k aisee
 
Huyo mshkaji sijui hata kama anadindisha

Tatizo la mademu wa siku hizi hawato.mbwi vizuri mpaka watepete mpaka akijinusa ahisi kuna kiberiti kimewashwa
Hahahahaahahha...wewe acha kuwaacha wadada wa watu na sugu!
 
Mhhh huyu jamaa si wanasema ni Chakula ? Mtoto wa Tabata huyu ,haya kazi kwake na viuno vya Huddah
Hata yeye nadhani viuno si haba....maana wadada wanampenda hatariii
 
Mhhhh haya mama ,ila haya meneno usije ukaongea ukiwa Dubei utafanya watu wamzingire jamaa
Huko Imirati si ndo anaendaga mara kwa mara hadi watu wanasema eti maKhalifa wanajisevia....
 
Ngada pekee ndo inaweza mfanya mtu akapiga picha na cash kwa mtindo huo...., kama ni kick inatafutwa basi amejitia matatizoni(ingawa ni won)
 
Back
Top Bottom