lossoJR
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,711
- 2,384
Mpendwa mke wangu,bado Niko ofisini na jua bado limepatwa mpaka sasahivi, kuna Giza Nene sana hata sisi wenyewe hapa ofisini hatuonani na wala hatuwezi hata kuzunguka ndani ya ofisi kwani Giza ni Nene sana.
Wenyeji wa maeneo haya wanasema kwamba kwa kawaida jua likipatwa maeneo haya huchukua wakati mwingine hadi siku mbili nzima kwa jua kuja kuachiwa. Hivyo kama utaona sijarudi nyumbani Leo na kesho jua kwamba jua la hapa maeneo ya ofisini halijaachiwa tangu lipatwe Leo majira ya asubuhi.
Ndimi Mumeo nikupendae.
Majibu ya mke
Mimi mwenyewe sipo nyumbani, na huku sokoni ninapofanyia biashara napo jua limepatwa, na huku wanasema inachukuaga siku 3, hivyo naona ww utatangulia nyumbani.
Ndimi mkeo mtiifu.