Kupatwa kwa wachambuzi

Kupatwa kwa wachambuzi

Kuna mchambuzi anaitwa Geoff Lea nimemchukia sana siku za karibuni kwa upuuzi wake. Kimsingi EFM nzima imekosa weledi kwenye ishu ya uchambuzi. Wachambuzi wote pale wanaichukia Yanga na pia hawana maneno ya hekima wanapoongea.
We sema tu imekuuma kwakua ni shabiki wa Yanga

Huyo Geaf Leah anaisifiaga sana Yanga lakini siku akiisema negative mnasema chuki.

Huyo Edo mwenyewe ambaye ni rafiki wa Manara naye analalamika kuitwa chambuzi wa mchongo na mashabiki wa Gongowazi.

Wachambuzi hawawezi kuwa wanafanya kazi kwa malengo ya kuwaridhisha nyinyi (feeding your ego) hiyo ni sawa na kuwa bootylicker
 
Imagine mashabiki wa yanga walivowajinga hawajawahi msema vibaya mpuuzi kitenge kisa anaisifia yanga tu
 
Hakuna mchambuzi mwenye akili timamu anayetamani kupata aibu kwa hali ilivyo kusafiri na Yanga kwa sasa ni jambo la aibu unasafiri vipi na timu ambayo inaenda kukamilisha tu ratiba
[emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom