Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

Aisee ulibakiwa na material nyingi sana, hapo kama usingesimamia inawezekana alikusudia kupiga hivyo vifaa
 
Sahihi kabisa! Roofing ni stage ngumu katika ujenzi kwakuwa huwezi kufanya nusu nusu. Mi mwenyewe hapo ndipo niliponasa, nanunua material kidogo kidogo then nakusanya hela ya fundi nimwite site
 
Nitajaribu kutumia formula hii, ina simplify hesabu ya bati
 
Nyumba ya vyiumba vinne bei gan
 
Khaaa huu ni uwongo wa hali ya juu au unaongelea chumba kimoja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Umepaua kwa bati gani na nyumba yako ina ukubwa gani?
 
Kuna vitu ukisoma vinatisha na unatishika kweli, kumbe kiuhalisia wala havitishi...... Waliojenga wanajua kutishia kwakweli, ukiwasikiliza sana hakuna kitu utafanya.
 
Kakibanda kangu kamekula gharama zifuatazo

Mbao za kupaulia ambao zilitosha mpka kwenye drafi- 4.2 milion(niliagiza mwenyewe iringa)...ningenunulia Dar ingefika milioni 6 kasoro

Bati ni ALAF MAX COVER 28 G,ilikula 10.2 milioni

Misumari,sijui gharama za usafiri kutoa mbao ziliposhushiwa hadi Site,gharama ya ulinzi,hela ya Fundi na upuuzi mdogo mdogo jumla ilikuja 21.3 Milion

Ila ningeamua kutumia bati za kampuni nyngne,isingefika hata milioni 7
 

Attachments

  • Screenshot_20241014-174703_Gallery.jpg
    33.6 KB · Views: 17
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…