Gogovivu45
JF-Expert Member
- Oct 10, 2019
- 229
- 133
Kwenye mchakato wa ujenzi mafundi wanatupigia gharama za juu sana aiseee. husanai kwenye kupau, nyumba yenye vipimo vya 12.007 Kwenye urefu na upana, mtu anakwambia bati 150, mwingine 133 , mwingine 118, mwingine 120.. yaani unashindwa ata kufahamu umpe kazi fundi yupi