Issuna
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,203
- 7,628
Baba acha utani na haya amaisha hata hujauliza ukubwa wa nyumba tayari ushakokotoa???😀😀😀nyumba ina ukubwa gani? hata hivyo andaa fedha za mbao treated timber kama 3.5m na bati 5m na ufundi 3m, kama hujapata fundi ni PM nije nicheki site then tutaongea.