Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

Kwa aliye tayali 0653064813 mbao ulefu wowote kwanzia Fuji 12 nakuendelea
 
Naomba fundi wa kukadiria gharama za kuezeka mjengo kama ulivyoonyeshwa kwenye picha. Vipimo vya msingi ni mita 15x16.

Fundi aainishe:
1. Idadi ya kila aina ya mbao na kazi zake mfano kenchi nk. Kisha gharama za ununuzi.

2. Idadi na aina ya bati yaani aina ya bati, urefu wake na idadi. Kisha gharama zake.

3. Idadi na aina ya misumari.

Idadi na aina ya kofia.

4. Gharama zake za ujenzi.

Hii ni sawa na kutangaza tenda. Eligible biders wanakaribishwa inbox.
20170611_130925.jpg

20170611_131053.jpg
 
Naomba fundi wa kukadiria gharama za kuezeka mjengo kama ulivyoonyeshwa kwenye picha. Vipimo vya msingi ni mita 15x16.

Fundi aainishe:
1. Idadi ya kila aina ya mbao na kazi zake mfano kenchi nk. Kisha gharama za ununuzi.

2. Idadi na aina ya bati yaani aina ya bati, urefu wake na idadi. Kisha gharama zake.

3. Idadi na aina ya misumari.

Idadi na aina ya kofia.

4. Gharama zake za ujenzi.

Hii ni sawa na kutangaza tenda. Eligible biders wanakaribishwa inbox.View attachment 522327
View attachment 522328
Nipo Dar es Salaam. Nyumba ipo Kibaha nje kidogo ya maili moja.
 
Kitalaamu ukadiriaje wote huanzia kwenye msingi wanyumba yako hivyo ukitaka nikufanyie hiyo kazi leta raman ya msingi wa nyumba yako yaan structural drawing utapew karatus dogo tu kama hilo hapo chini
 
Attachments

  • material est.jpeg
    material est.jpeg
    26 KB · Views: 312
  • material est.jpeg
    material est.jpeg
    26 KB · Views: 226
Naomba fundi wa kukadiria gharama za kuezeka mjengo kama ulivyoonyeshwa kwenye picha. Vipimo vya msingi ni mita 15x16.

Fundi aainishe:
1. Idadi ya kila aina ya mbao na kazi zake mfano kenchi nk. Kisha gharama za ununuzi.

2. Idadi na aina ya bati yaani aina ya bati, urefu wake na idadi. Kisha gharama zake.

3. Idadi na aina ya misumari.

Idadi na aina ya kofia.

4. Gharama zake za ujenzi.

Hii ni sawa na kutangaza tenda. Eligible biders wanakaribishwa inbox.View attachment 522327
View attachment 522328

Mkuu..
Nimeona post yako naomba nikushauri kitu kimoja kama bado ujaezeka..
Kama mtaalamu wa ujenzi..makadirio nikitu kirahisi Lakini nakushauri ukipenda kupunguza gharama za kupaua kwanza Hilo Paa lako lina angle kubwa nahisi ni degree 30 au zaidi..ndio maana roof linaenda juu sana..
Kitaalam kwa nyumba za kuishi urefu wa roof angalau uwe nusu ya urefu wa ukuta wa nyumba yako..
 
Kaka hizi bei zako mbona utata. Ukiacha kutojua ukubwa. Bati m5 ni Bundle ngapi? Na ni aina gani? Mbao m3 ni kivipi na ngapi na kila moja sh ngapi hadi ziwe na hiyo gharama? huyo fundi wa kupaua kwa m3 nyumba ya mtanzania!.
Hiyo m3 mm nimepata mbao za sao hill PCs 200 na bati bando 6 na fund na nyumba nimehamia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa haraka haraka gharama za material ya kupaua no karibia m.10 hivi hilo boma kajenga kwa gharama gani nyie ndio wale mafundi wezi

Sent using Jamii Forums mobile app
Usawa huu kwa fundi wa mtaani tu achukue 3m ya ufundi? That's way too much, unaweza kupata fundi akapaua kwa as cheaper as 1.5m na nyumba ikasimama "wima".

Kutegemeana na ukubwa wa nyumba, aina ya bati pia ina-determine wingi wa mbao. Kuna bati zinakula mbao nyingi hatari(msauzi), hizi za migongo mipana kama tubavyoziita zipo economy kidogo kwenye mbao.

Muhimu ni
Aina ya bati
Mbao
Ufundi.
The rest ni kawaida tu.
 
Kuna fund nilimpata ni mzuri tu tena maarufu kwa kupaua nyumba za mtaani hapa nilipohamia kanianzia laki 6 nikamwambia sina nimekaa mwezi mzima namsikilizia ..mwenyewe akanifata na kunimbia nilikuwana na ngapi nikamjibu laki 3 akaniambia laki 4 afanye kzi nikamjihu sina akasema nimpe 3.5 laki nikamwambia poa

Nyumba ya ukubwa gani mpaka ipauliwe pesa ndogo hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom