Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

Amani iwe kwako.
Mbao za 2×4 PC 130 @ft 980 kila ubao tuseme una irefu wa ft.18 kwa hiyo 18×115×980=2,028,600/=

Mbao za 2×2 PC 95 @ft 500 ubao wenye ft 18 inakuwa hivi;
18×85×500=765,000/=

Mbao za 1×10 PC 16×22,000=352,000/=

Jumla kuu ni Tshs. 3,145,600/=

Pesa ya fundi Kupaua kwa mafundi wetu hawa local andaa 1,500,000/=
Kwenye swala la bati nakadiria squire m.270@10,000=2,700,000/= IT 5 bei ya kiwandani.

Nakutakia maandalizi mema Mkuu.

Chief, tafadhali naomba makadirio nyumba yangu ni 13,550mm urefu kwa 10,025mm upana.
 
Chief, tafadhali naomba makadirio nyumba yangu ni 13,550mm urefu kwa 10,025mm upana.
13550=13.55m
10025=10.025m
13.55m×10.025m=135.83875~flow area
~135.8m^2×1.5m=203.7m~roofing area
Sas hap utagawanya Kwa upana wa bati baada ya overlap(kuvaana) kam bati inaupan wa 90cm bas hiyo inakuwa 84cm,,,,,
Kwaiyo unachukua r/m yak uliyo ipata 203.7m ÷0.84m=242.5m lakin inaweza kuwa +/-
Hivyo 242.5 m utazidisha na bei ya hiyo bati Kwa bat z rangi tena za ANDO g28 imesimama 12000 Kwa mita moja, hivyo utaona 242.5×12000=2910000
 
asante, naomba makadirio ya mbao 4 by 2 na 3by2 pia exact bati ngapi? msouth wa Mita 3.
 
Kiongozi naomba mchanganuo wa idadi na bei ya bati kwa nyumba angu yenye upana 10350cm na urefu 16550 cm
 
asante kwa kututia moyo kwani mm nimeshangaa mabei makubwa kule juu name nitaanza kujenga mwakani
Mi nimemaliza juzi juzi kupaua. Mabati 3.2m, mbao 2m na,Fundi ni kama 1.4m, vyumba vitatu vikubwa sana! Viwili ni master,sebule,jiko na stoo na ni Nyumba yenye coridor ndefu. Fundi na wasaidizi wake walimaliza kazi nda ni ya siku tano na nilisimamia mwenyewe.
Nashangaa watu wanaleta mabei makuubwaaa hapa ya kifisadi,acheni kutisha watu.
 
Mkuu umetumia aina gani za bati? Maana zipo za kawaida na zile za migongo mipana, na za kiwanda gani, vipi bei ya kofia, na misumali yake, je hizo bati sh ngapi kwa mita
kwa kuanza msingi wa nyumba unafanyaje je naweza kutumia matofali ya kuchoma kuwa msingi wa kuanzia au nitumie matofali ya aina gani kwani nataka kuanza name eneo ni tambarare ni 15x18m
ni nyumba ya bedroom2, masterbedroom, lounce, kitchen, stoo, vyoo2 na koridor la kiasi nipe wastani wa vifaa kwa kuanzia msingi wa nyumba mkuu
 
Kuwarahisishia wataalamu mngekuwa mnaweka floor plan hata makadirio anaweza kupiga kwa urahisi...
 
Cheap is expensive. Tatizo waswahili wengi tunapenda vitu vizuri ila tunaogopa gharama. Kujenga nyumba siyo lelemama. Mimi siyo fundi ila naamini kama unataka kujenga..Be yourself. Usiende kwa jirani ukapenda nyumba yake na kumuomba Ramani. Ndo Changamoto kubwa kwa wengi wetu. Ramani tunaazimana. Na mwisho wa siku tunafika katikati tunashindwa au tunalalamika kwamba mafundi ni wezi, wakati ukweli ni kwamba tunakosea hata kabla hatujaanza. Tumia Ramani ambayo una uhakika nayo na umepata ushauri kuhusu ugumu na urahisi wake.

Mwisho wa siku uwezo unatofautiana na taste ni tofauti. Wengine atataka first class finishing ambazo ni mamilioni. mwingine atataka bora pate pa kujificha..kwa nyumba ile ile.

Kikubwa tusiwe wepesi wa kuiga na kuazimana Ramani. Jenga kwa kuangalia mfuko wako una resources kiasi gani.
 
kwa kuanza msingi wa nyumba unafanyaje je naweza kutumia matofali ya kuchoma kuwa msingi wa kuanzia au nitumie matofali ya aina gani kwani nataka kuanza name eneo ni tambarare ni 15x18m
ni nyumba ya bedroom2, masterbedroom, lounce, kitchen, stoo, vyoo2 na koridor la kiasi nipe wastani wa vifaa kwa kuanzia msingi wa nyumba mkuu
Hongera hiyo nyumba ni kubwa.
 
Wakuu mm naomba msaada, kati ya vigae vya Nabaki Afrika na vigae vya Alaf vipi ni bora zaidi? Bei yake je ikoje?
Natunguliza shukrani zangu za dhati kwenu.
 
Hivi kwanini hizi roof za cementi/concrete zimekosa wateja siku hizi, ni gharama sana au? Nadhani cost calculation yake ingeweza kuwa rahisi zaidi, hakuna cha mbao wala style.
Pia naona roof nyingi bongo zina slope kubwa sana, hii ni style tu au kuna sababu?
 
Nyumba yangu ni 28 kwa 44 itahitaji kiasi gani kupaua?
 
Ujenzi unahitaji moyo wa uvumilivu na kujitoa. Kwa wote mlio kwenye ujenzi Mungu awatangulie mmalize salama. Maana hata resources zimekaba kipindi hiki.
Ni kweli kabisa
 
Mi nimemaliza juzi juzi kupaua. Mabati 3.2m, mbao 2m na,Fundi ni kama 1.4m, vyumba vitatu vikubwa sana! Viwili ni master,sebule,jiko na stoo na ni Nyumba yenye coridor ndefu. Fundi na wasaidizi wake walimaliza kazi nda ni ya siku tano na nilisimamia mwenyewe.
Nashangaa watu wanaleta mabei makuubwaaa hapa ya kifisadi,acheni kutisha watu.
Aisee......post kama hizi zinatia moyo hata kama. Kuna minor discrepancies lakini ur almost there... Asante mkuu kwa mchango wako murua.
 
,

Umetisha,
Hata ukubwa wa nyumba hujaufahamu/hajakupa umetaja bei. Unamaanisha nyumba yenye 100sqm itagharimu sawa na nyumba yenye 250sqm? Vipi kuhusu aina ya mabati anayotaka kutumia - bei yako inakuwa sawa kwa mabati ya aina zote?
Anyway: Mimi pia nipo nahitaji gharama za kuezeka nyumba iliyopo Makongo (DSM) yenye sqm 200. siyo ya ghorofa, bati za wanazotengeneza ALAF (za rangi).
yaani kashamuibia kwanzia hapa sasa sijui huko site kama hatomteka
 
Back
Top Bottom