mawazo1984
Member
- Mar 30, 2016
- 6
- 2
kuna tofauti gani ya bei kwa mita kati ya ANDOna ALAF kwa mabati ya IT profile na maxcover?Kwa bati nzuri na vigae nenda ando, maana ndio wanaouza bati kwa bei ya kutupwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna tofauti gani ya bei kwa mita kati ya ANDOna ALAF kwa mabati ya IT profile na maxcover?Kwa bati nzuri na vigae nenda ando, maana ndio wanaouza bati kwa bei ya kutupwa
Kaka nisaidie bei ya mbao na office za Sao hill Kwa Dar nikanunua kwao. Nahitaji mbao Kama 500 za 2x4.26g = 13,950/=
28g = 12,000/=
hizo hapo juu ni bei za ando roofing.
nilinunua 28g bati za 3m, mafundi walikata wenyewe ila ni wazuri sana na pia usimamizi wako site unasaidia sana kutoibiwa.
Kaka nisaidie bei ya mbao na office za Sao hill Kwa Dar nikanunua kwao. Nahitaji mbao Kama 500 za 2x4.
Asante. Hivi yale mabati ya Alaf Maxcover yaani mfano wa vigae ni bei gani kwa sasamkuu bei nimesahau ila nenda ofisi za sao hill wapo kati ya kituo cha mwananchi na garage.
![]()
Asante. Hivi yale mabati ya Alaf Maxcover yaani mfano wa vigae ni bei gani kwa sasa
Habari ya kazi nami naomba mnipe makadirio ya kupaua kuanzia bati mbao na pesa ya ufundi ukubwa wa nyumba yangu ni 12.5mx13.5
Amani iwe kwako.
Mbao za 2×4 PC 130 @ft 980 kila ubao tuseme una irefu wa ft.18 kwa hiyo 18×115×980=2,028,600/=
Mbao za 2×2 PC 95 @ft 500 ubao wenye ft 18 inakuwa hivi;
18×85×500=765,000/=
Mbao za 1×10 PC 16×22,000=352,000/=
Jumla kuu ni Tshs. 3,145,600/=
Pesa ya fundi Kupaua kwa mafundi wetu hawa local andaa 1,500,000/=
Kwenye swala la bati nakadiria squire m.270@10,000=2,700,000/= IT 5 bei ya kiwandani.
Nakutakia maandalizi mema Mkuu.[/QUOT
SHUKRAN MKUUAmani iwe kwako.
Mbao za 2×4 PC 130 @ft 980 kila ubao tuseme una irefu wa ft.18 kwa hiyo 18×115×980=2,028,600/=
Mbao za 2×2 PC 95 @ft 500 ubao wenye ft 18 inakuwa hivi;
18×85×500=765,000/=
Mbao za 1×10 PC 16×22,000=352,000/=
Jumla kuu ni Tshs. 3,145,600/=
Pesa ya fundi Kupaua kwa mafundi wetu hawa local andaa 1,500,000/=
Kwenye swala la bati nakadiria squire m.270@10,000=2,700,000/= IT 5 bei ya kiwandani.
Nakutakia maandalizi mema Mkuu.
mm ni quantity surveyor nitafute nikufanyie cost yake nahusika na kutoa cost za nyumba na pia nachora nyumba uitakayo 0784834208 pia kwa Sasa natumia 0677400169 au 0753757303Kwenye mbao na bati hayuko mbali sana na ukweli lakini gharama za ufundi ndiyo tatizo
mm ni quantity surveyor nitafute nikufanyie cost yake nahusika na kutoa cost za nyumba na pia nachora nyumba uitakayo 0784834208
Aaaah huu uzi wa wenye nazo makapuku tukae kimya maana hizo bei mmh!!Nilifikiri nimestuka peke yangu
Aaaah huu uzi wa wenye nazo makapuku tukae kimya maana hizo bei mmh!!
Nilinunua mwanzaAsante kaka umenipa mwangaza mzuri,kama hutojali naomba kama itawezekana uniambie hizo bati ulizinunua duka gani(kama upo Dar),pia mbao ulitumia za dawa au za kawaida?natanguliza shukrani.
Mkuu ufundi wa kuezeka tu mil 3? @zembemkuu
Mkuu ukubwa wa nyumba yako please kama hutojali maana nina mpango wa kujenga kibanda cha mtindo huo.Mm nmejenga nyumba vyumba 3kimoja master sitting room choo cha ndani jiko stoo na korido ktk kuelekea sebureni bati nmetumia milion moja kench laki sita misumari waya pamoja na kepu laki mbili ufundi laki nne
Mkuu kwa bati za aina gani?Amani iwe kwako.