Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

Asante kwa mwongozo mkuu!
mkuu idadi ya mbao hizo kwa kupaua tu ni nyingi sana, nilikuwa na zoezi la kupaua january 2016 nilinunua sao hill mbao 2*4 na 2*2 zilikuwa 377 na 1*10 20 zimepaua na blundering imefanyika na zilibaki 1*10 mbao 4 ukubwa wa nyumba yangu ni 16.2m kwa 12.4m ila unahitajika site muda wote ili mafundi wasikupige kwa sababu idadi ya mbao 377 waliniambia ni kwa ajili ya kupaua tu na bati migongo mipana walitaka 130 nikanunua 120 pale ando roofing buguruni lakini tulitumia 106 na zimebaki 14.
 
Mkuu bati za migongo mipana ulinunua kwa Tzs ngapi na ulinunua kwa kukata kutokana na vipimo au alikata fundi wako?
 
mkuu idadi ya mbao hizo kwa kupaua tu ni nyingi sana, nilikuwa na zoezi la kupaua january 2016 nilinunua sao hill mbao 2*4 na 2*2 zilikuwa 377 na 1*10 20 zimepaua na blundering imefanyika na zilibaki 1*10 mbao 4 ukubwa wa nyumba yangu ni 16.2m kwa 12.4m ila unahitajika site muda wote ili mafundi wasikupige kwa sababu idadi ya mbao 377 waliniambia ni kwa ajili ya kupaua tu na bati migongo mipana walitaka 130 nikanunua 120 pale ando roofing buguruni lakini tulitumia 106 na zimebaki 14.

Kaka umesema ukweli mtupu! Mimi nilipewa hiyo idadi ya mbao na fundi lakini naendelea na utafit wangu front mpaka kieleweke.
 
26g = 13,950/=
28g = 12,000/=
hizo hapo juu ni bei za ando roofing.

nilinunua 28g bati za 3m, mafundi walikata wenyewe ila ni wazuri sana na pia usimamizi wako site unasaidia sana kutoibiwa.
Ahsante mkuu
 
HAKUNA FUNDI MKWELI LABDA KINYOZI. MAKADIRIO YAKIZIDI NI BORA KULIKO YAKIPUNGUA
mkuu uko sahihi ila wanatia hasara mfano nina bati 14 zimebaki ukizidisha mara 36,000/= unaweza kuona hii hela ililala hapo ningeweza kufanyia jambo jingine na hiyo pia ni baada ya kutonunua bati 130 kama alivyotaka fundi mimi nikanunua 120.
 
Mi nimemaliza juzi juzi kupaua. Mabati 3.2m, mbao 2m na,Fundi ni kama 1.4m, vyumba vitatu vikubwa sana! Viwili ni master,sebule,jiko na stoo na ni Nyumba yenye coridor ndefu. Fundi na wasaidizi wake walimaliza kazi nda ni ya siku tano na nilisimamia mwenyewe.
Nashangaa watu wanaleta mabei makuubwaaa hapa ya kifisadi,acheni kutisha watu.

Je ina dinning, public toilet, entry veranda, kitchen veranda?
 
hio imekula mabati mingongo mipana 90,mbao za 2 by 3 ni 130,mbao za 2 by 4 ni 50
bd4d92420953c9462e1f19a02e64938f.jpg

kila kitu pamoja na ufundi imetrmbea kama 4M
Naona kuta zimepanda kozi 4 halafu 6 ikafuata linta halafu kozi 2

Naomba kujua mbona wengine wanaweka kozi 11 halafu linta halafu 2
 
Ninatarajia kupaua miezi michache ijayo... Nyumba ni mstatili.... 17m x 16m, nataka kutumia bati za ando 30G,= 9000tshs per meter, naomba tu estimate ya idadi ya mbao na bati.
 
mkuu idadi ya bati walipiga kwanza kenchi wakapima ndo wakakupa au waliitoa kabla ya kupiga kenchi? Na hizo 377pcs ni jumla ya 2*4 na 2*2?[/QUOTE]
mkuu idadi ya mbao hizo kwa kupaua tu ni nyingi sana, nilikuwa na zoezi la kupaua january 2016 nilinunua sao hill mbao 2*4 na 2*2 zilikuwa 377 na 1*10 20 zimepaua na blundering imefanyika na zilibaki 1*10 mbao 4 ukubwa wa nyumba yangu ni 16.2m kwa 12.4m ila unahitajika site muda wote ili mafundi wasikupige kwa sababu idadi ya mbao 377 waliniambia ni kwa ajili ya kupaua tu na bati migongo mipana walitaka 130 nikanunua 120 pale ando roofing buguruni lakini tulitumia 106 na zimebaki 14.[/QUOTE
thread nzuri
 
Back
Top Bottom