Heshima yako Daktari
Katika maisha yangu sijawahi kushuhudia kupatwa kwa jua "solar eclipse" lakini safari hii nimeletewa fursa adimu ya kushuhudia tukio hilo hapo kesho tarehhe 20. Pamoja na shauku niliyonayo kwa bahati mbaya/nzuri nimesikia ni hatari kuangalia bila vifaa maalum vinginevyo nitasahau kuona. naombeni kujua haya:
1. Je ni kweli kuna madhara na kama yapo madhara gani?
2. Je kama yapo nitumie vifaa gani au nijifungie tu ndani