Kupaywa kwa jua "Solar eclipse"

Kupaywa kwa jua "Solar eclipse"

Prezidah

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
750
Reaction score
182
Heshima yako Daktari

Katika maisha yangu sijawahi kushuhudia kupatwa kwa jua "solar eclipse" lakini safari hii nimeletewa fursa adimu ya kushuhudia tukio hilo hapo kesho tarehhe 20. Pamoja na shauku niliyonayo kwa bahati mbaya/nzuri nimesikia ni hatari kuangalia bila vifaa maalum vinginevyo nitasahau kuona. naombeni kujua haya:

1. Je ni kweli kuna madhara na kama yapo madhara gani?

2. Je kama yapo nitumie vifaa gani au nijifungie tu ndani
 
asubuhi nilisikia kupitia Radio One kuwa kuna link watatupa tuone Live kupatwa huko kwa jua kijijini katika wilaya za Rujewa naomba mwenye mawasiliano hayo au hata Kideo
 
Back
Top Bottom