Kupeana penzi wakati wa mvua kunaongeza kinga ya mwili

Kupeana penzi wakati wa mvua kunaongeza kinga ya mwili

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
3,424
Reaction score
7,706
Haijalishi ni muda gani Ila Unapokuwa free na mpenzi/mwandani wako asikae kinyonge wakati wa baridi
mtie mguu wa mtoto mpe mkwasa🤣wa mashavu ya chini.

Faida za tendo wakati wa mvua
1.kuimarisha upendo baina ya wenza
2.kuondoa stress za Kazi na biashara
3.njia ya kutatua Ugomvi
4.inachochea hormone za furaha
5.ni moja wapo ya mazoezi
ya viungo vya mwili haswa kwa mabonge🤣
6.inapunguza stress za kausha damu na mikopo ya benk kubwa kubwa

Hasara
Mimba zisizotarajiwa

Wazee punyeto shauri yenušŸ¤£šŸƒā€ā™‚ļø
 

Attachments

  • Screenshot_20241205_202421.jpg
    Screenshot_20241205_202421.jpg
    195.1 KB · Views: 6
  • Screenshot_20241205_202336.jpg
    Screenshot_20241205_202336.jpg
    168.4 KB · Views: 4
Ongeza na ile ta u siku wa manane mwili unakuwa umechemka kama unaumwa homa
 
Back
Top Bottom