Stephan Lichtsteiner
JF-Expert Member
- Sep 13, 2022
- 520
- 1,476
Ukitaka usirekodiwe kamwe usikubali chumba atachokupa jamaa muhudumu chagua chumba mwenyewe...Chamsingi mkuu epuka gesti za Sinza. Mfuate mchepuko kwake..
Mie huwa nikifika location mwali namuacha nje kwny gari nikingia ndan nikiambiwa imebaki room moja yan siezi chagua huwa nasepa hapo hapo silali humo........
Ila ukiwa mkaguzi mzuri lazma camera utaiona mana hidden camera za kurekod live huwa expensive so wanatumia hzj hz za kawaida