Kupeane elimu kuhusu M-pawa

Kupeane elimu kuhusu M-pawa

Kv-london

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
2,877
Reaction score
5,022
Habari wana JF wenzangu.

Bila kupoteza muda me nipo huku border burundi nasikia tu kuna huduma ya M-Pawa kutoka Vodacom ila nashndwa kuielewa vizuri inafanyaje kazi, je faida na hasara zake ni zipi?

Naomba mwenye ufahamu mzur atudadavulie kwa kina zaidi

Ahsanteni
 
Back
Top Bottom