Kupenda Ama Kupendwa

255Gene

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
888
Reaction score
1,090
Binafsi huniwia vigumu sana kujibu haswa ninapokutana na swali kama hili "kupenda ama kupendwa" watu wengi husema kupendwa raha na kwa upande wa pili husema kupenda shida maana sio kila utakae mpenda basi nae atakupenda..Nadhani raha zaidi pale mnapopendana

If i were to choose, lazima nitachagua kupendwa kwasababu unakuwa secured , unauhakika kabisa kwamba hapa nampendwa na possibility yake ya kuumizwa ni ndogo zaidi ya yule anaependa na sababu kubwa ya kutokuchagua kupenda ni ile kupenda asie kupenda... Pia kumpenda mtu hukosesha amani unawaza what if i tell her/him atakubali au ndo atanikataa na how am i going to say to her/him vitu vingi vinapita kwa akili yako hamna furaha na usikute mtu mwenyewe ana girlfriend au boy wake basi shida inazidi mara mbili

Hivyo basi wanajamvi ningependa kuwasilisha hoja na kuwa karibisha na nyie mchagie juu ya mjala huu..


Karibuni.
 
Penda asiekupenda maana upendo haupendwi...[emoji40] [emoji40] [emoji40] ,ulila unapenda tu
 
Folder mbona umezichanganya kupenda ,kupendwa na kupendana.
kamtazamo kangu mkuu ... paragraph ya pili ni kama reasons za kwanini nachagua kupendwa na sababu za kutokuchagua kupenda
 
Vikitokea vyote viwili kwa wakati mmoja kupenda na kupendwa ni raha sana. Saa zote una tabasamu hata usingizini unatabasamu.


 
Hivi vitu vitokee vyote viwili, haki dunia yoote unaiona yako.
 
Acha upendo ufanye kazi yake sio urudishiwe upendo.... Ukipenda sababu anakupenda utaumia sana
 
Vikitokea vyote viwili kwa wakati mmoja kupenda na kupendwa ni raha sana. Saa zote una tabasamu hata usingizini unatabasamu.

kweli mkiu
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…