255Gene
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 888
- 1,090
Binafsi huniwia vigumu sana kujibu haswa ninapokutana na swali kama hili "kupenda ama kupendwa" watu wengi husema kupendwa raha na kwa upande wa pili husema kupenda shida maana sio kila utakae mpenda basi nae atakupenda..Nadhani raha zaidi pale mnapopendana
If i were to choose, lazima nitachagua kupendwa kwasababu unakuwa secured , unauhakika kabisa kwamba hapa nampendwa na possibility yake ya kuumizwa ni ndogo zaidi ya yule anaependa na sababu kubwa ya kutokuchagua kupenda ni ile kupenda asie kupenda... Pia kumpenda mtu hukosesha amani unawaza what if i tell her/him atakubali au ndo atanikataa na how am i going to say to her/him vitu vingi vinapita kwa akili yako hamna furaha na usikute mtu mwenyewe ana girlfriend au boy wake basi shida inazidi mara mbili
Hivyo basi wanajamvi ningependa kuwasilisha hoja na kuwa karibisha na nyie mchagie juu ya mjala huu..
Karibuni.