Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Usimpende mtu hadi ukapitiliza na kukufuru; hakikisha unabakisha vinginevyo utageuzwa kuwa mtumwa wa mapenzi, utanyanyaswa, utakosa utulivu na amani moyoni, utashikwa na kijiba cha roho (wivu), na utageuzwa ndondocha wa mapenzi... ni ushauri tu.

mwanakijiji pole, wameshakujeruhi tayari? ndio kujifunza huko...siku nyingine hutarudia
Haahaa! Kama mapenzi yangelikuwa ni mahesabu ya chemistry ya equation balancing basi ni kweli mtu ungeliweza kuivungua valve mpaka kiasi fulani ili usipitilize ikaleta balaa. La hasha! Mara nyingine yanakwenda mpaka yasiko takiwa kufika kiasi kwamba mtu haoni, haambiwi wala hasikii. Kama akijeruhiwa basi hata kilo kadhaa huwa zinapotea!
mzee avatar ya zamani ilikuwa nzuri sana na inayoonyesha hashima kubwa zaidi......................... hii ya sasa unaonekana kama mzee anayeweza kuingia sebuleni kifua wazi huku kukiwa na mkwewe kamtembelea.................. mwanakijiji aliposhauriwa arudishe avata ya zamani, alituheshimu wasomaj wake,..................................... nawe tafadhari ridisha avatar ya zamani........................... ni ushauri tu
sorry,.............. niko off topic.....................
Usimpende mtu hadi ukapitiliza na kukufuru; hakikisha unabakisha vinginevyo utageuzwa kuwa mtumwa wa mapenzi, utanyanyaswa, utakosa utulivu na amani moyoni, utashikwa na kijiba cha roho (wivu), na utageuzwa ndondocha wa mapenzi... ni ushauri tu.
ooh.. no my dear..siku hizi miye sugu.. siwapi nguvu ya kuniumiza hivyo tena...
mwanakijiji,
it looks like SOMETHING IS EATING YOU UP!
vipi,haudhani kwamba unapaswa kwenda clinics kama wakina..................
Ukiamua kumtamkia mtu kwamba I love you, nakupena basi umpende jumla jumla vinginevyo ni penzi la kifisadi na kumpotezea mtu muda wake halafu akika kukukimbia uanze kumtusi.
Hahaha have been there done that! Maumivu ni zaidi ya malaria.
Kweli kabisa nakubaliana na wewe mzee wa busara....Usimpende mtu hadi ukapitiliza na kukufuru; hakikisha unabakisha vinginevyo utageuzwa kuwa mtumwa wa mapenzi, utanyanyaswa, utakosa utulivu na amani moyoni, utashikwa na kijiba cha roho (wivu), na utageuzwa ndondocha wa mapenzi... ni ushauri tu.