Kupenda hadi kupitiliza - neno la hekima

Usimpende mtu hadi ukapitiliza na kukufuru; hakikisha unabakisha vinginevyo utageuzwa kuwa mtumwa wa mapenzi, utanyanyaswa, utakosa utulivu na amani moyoni, utashikwa na kijiba cha roho (wivu), na utageuzwa ndondocha wa mapenzi... ni ushauri tu.
Si hilo tu! Utakufa mapema!
 
Usimpende mtu hadi ukapitiliza na kukufuru; hakikisha unabakisha vinginevyo utageuzwa kuwa mtumwa wa mapenzi, utanyanyaswa, utakosa utulivu na amani moyoni, utashikwa na kijiba cha roho (wivu), na utageuzwa ndondocha wa mapenzi... ni ushauri tu.

Pole Mzee... nawaweka katika maombi
 
ooh.. no my dear..siku hizi miye sugu.. siwapi nguvu ya kuniumiza hivyo tena..

unao wapenzi wangapi hao??? hata hivyo Biblia inasema "usichochee mapenzi kabla ya wakati wake" Labda umechochea na hauko tayari kupendwa - wakati wewe unafanya mzaha mwenzio yuko serious - jichunguze tena

Mapenzi mbona ni matamu??? wewe unapenda upendwe kiasi?? inaonekana huthamini hilo penzi unalopewa ndio maana kwako ni kero - anyway labda ni mawazo yangu tu....!!
 
mwanakijiji pole, wameshakujeruhi tayari? ndio kujifunza huko...siku nyingine hutarudia
HAWAJAMWELEWA MWANAKIJIJI.......kati yetu kuna mtu anaemtaka mpenzi wake saa zote anataka muwe pamoja hata ukienda ****** anakufuata,kazini hataki kwenda anapenda awe ametumbua mimacho anakuangalia tu?mnasemaje hapo?huko si kupitiliza?.Huna pesa kabisa lakini kwa vile Asha anataka hadi unaenda kuiba ili asha apate,si kupitiliza huko?.unamkuta live mpenzi wako anamegwa halafu unachekacheka tu baadae unasema 'mmmmh darling naomba usirudie'si kupitiliza?labda iwe mimi ndo sijamwelewa.
 
unao wapenzi wangapi hao??? Hata hivyo biblia inasema "usichochee mapenzi kabla ya wakati wake" labda umechochea na hauko tayari kupendwa - wakati wewe unafanya mzaha mwenzio yuko serious - jichunguze tena

mapenzi mbona ni matamu??? Wewe unapenda upendwe kiasi?? Inaonekana huthamini hilo penzi unalopewa ndio maana kwako ni kero - anyway labda ni mawazo yangu tu....!!
naomba aya/fungu.
 
naomba aya/fungu.

Soma "Wimbo ulio bora 2: 7b " inasema

Msiyachochee mapenzi, wala kuyaamsha; Hata yatakapoona vema yenyewe"

ubarikiwe
 
ni kweli mkuu ushauri wako ni wa maana sana, nimeona couple nyingi upaande mmoja ukipenda kupitiliza unaumia sana.
 
Mapenzi co km Bomba la Maji unafungulia kiasi Ukitaka yatoke kdg kdg yanatoka au sana yanatoa
Mapenzi co hivyo........
 
Usimpende mtu hadi ukapitiliza na kukufuru; hakikisha unabakisha vinginevyo utageuzwa kuwa mtumwa wa mapenzi, utanyanyaswa, utakosa utulivu na amani moyoni, utashikwa na kijiba cha roho (wivu), na utageuzwa ndondocha wa mapenzi... ni ushauri tu.

Haya maneno tu...!
Hujawahi penda wewe,watu walipenda mpaka wakaanzisha vita itakua kufanywa *****????
 
mie nahisi anayesema anapenda 100% ni muongo...
hata mtu ukionyeshwa unapendwa this much,unakuwa BORED...unaona mwenzio zuzu,inaweza leta mgogoro!

yesu peke yake ndie aliyeonyesha upendo 100% mpaka kufa,najua wengi hapa hamko tayari kufa kwa ajili ya wapenze wenu!...hii ni proof tosha hatupendi 100%!!LOLZ!
 
Mwanakijiji dear i beg to differ. Nitapenda bila reservations maana naamini kwenye mapenzi kuna kujaliana, kuheshimiana, kuthaminiana na kumfanya mwenzio kuwa kipaumbele chako cha pili maana wa kwanza ni Mungu. Siamini kuwa na katika mapenzi kuna "no mans land"........u either in or out but not in between.

Najua kuwa kweli kuna kuumizwa at times lakini siwezi kujinyima raha ya sasa kwa kufikiria kesho itakuwaje....... what if tomorrow never comes....si nitakuwa nimefaidi.🙂
 
Asante sana
 
Miongoni mwa mapenzi ni wewe kufurahi kwa furaha yake na kuhuzunika kwa huzuni yake, pia Kumpendelea mwenzako zaidi yako.
 
mie nahisi anayesema anapenda 100% ni muongo...
hata mtu ukionyeshwa unapendwa this much,unakuwa BORED...unaona mwenzio zuzu,inaweza leta mgogoro!

yesu peke yake ndie aliyeonyesha upendo 100% mpaka kufa,najua wengi hapa hamko tayari kufa kwa ajili ya wapenze wenu!...hii ni proof tosha hatupendi 100%!!LOLZ!

Hilo ndiyo penzi la kifisadi kwanini umtakie mtu nakupenda kumbe MOYONI unampenda 20% or even less than that?
 
Kwa nini uamue kupenda kama unaogopwa kuumizwa? Ukijisikia hamu tafuta CD wako unajifungia naye sehemu mkimalizana unajisikia mwepesi na roho yako nyeupe na huna wasiwasi wa kuumizwa kimapenzi mpaka ukijisikia tena hamu utamfuata tena. Kwa Wanawake wanaogopa kuumizwa kimapenzi nunua dildo lako unajifanya kila unapojisikia na kujiepusha kuumizwa kimapenzi na kuwaachia mapenzi wale wanaojua kupenda na kupendwa badala ya kujiingiza kwenye mapenzi kifisadifisadi.
 
Hilo ndiyo penzi la kifisadi kwanini umtakie mtu nakupenda kumbe MOYONI unampenda 20% or even less than that?

kwa mtu kama mie siwezi kuwa na mtu ninayempenda 20% or less...

nitampenda mtu kuanzia 80%,90%...hizo % nyengine lazima ajue nabaki nazo!...

siwezi nikamdanganya nikamwambia nipo tayari kufa kwa ajili yake!kwa jinsi ninavompenda!?!...huu utakuwa uongo!

nakupenda yes,niko tayari kufa kwa ajili yako NO,huu ni 100% upendo..probably no but doensnt mean ni 20% upendo either!
 
na hiyo 20% unaachia kwa nyumba ndogo? Ufisadi tu Watanzania hadi kwenye mapenzi!!! Eti unampenda mtu kwa 80% tu! Huwezi kufa kwa mtu unayempenda wakiingia majambazi na kuanza kumpiga wewe unatimua mbio na kuacha afe mwenyewe halafu unasema unampenda!!!!!!!
 
20%najiachia mwenyewe nishasema awali!
majambazi yakiingia na kuanza kumpiga mpenzi wangu,nitamsaidia kutoka kny ule 80% upendo!LOL
.....endapo on the other hand,yameingia tu na kutukuta wawili...yakasema nichague kufa ili mpenzi wangu aachwe...nitakuwa siko tayari kufanya hivyo,this be ufisadi wa mapenzi,and whatever name you call it...ukweli utabaki siko tayari kufa!,kwa ajili ya mtu!
...mwisho unfortunately,tumezaliwa mazingira tofauti,tumekulia ktk background tofauti zinazotufanya tuwe na mtazamo tofauti...likija suala la mapenzi...!,usinione 'abnormal'..nikisema napenda 80%.....niko sawa tu na yule anayependa 100%...kama yupo LOL!
 
Usimpende mtu hadi ukapitiliza na kukufuru; hakikisha unabakisha vinginevyo utageuzwa kuwa mtumwa wa mapenzi, utanyanyaswa, utakosa utulivu na amani moyoni, utashikwa na kijiba cha roho (wivu), na utageuzwa ndondocha wa mapenzi... ni ushauri tu.

Sawa unaweza kujaribu shimo hilo la mapenzi lisiwe na kina kirefu, lakini ndiyo maana wazungu wana sema LOVE IS BLIND.. Wewe unaweza kujikuta katika hayo mazingira hapo juu bila kujua... Lakini ni ushauri mzuri SANA...
 
Back
Top Bottom