Ndio maana siamini na wala siwezi kuamini kama mapenzi yanayositishwa kwa amani huisha..... Tafadhali Nazjaz, huwa tunaamini kuwa wahenga walisema uhamapo usinyee kambi......, lakini kambi ya mapenzi hupaswa kunyewa na kuchomwa moto, vinginevyo utarudi tu...... And, because of these kind of feelings, that I can't trust anyone along her/his ex....., unless the relationship has broken because of a big conflict, and the conflict is never get resolved.....!Leo nimekutana na boyfrendi wangu wa zamani. Tuliachana tukiwa form six mwaka 98. Nilipopeana nae mkono kwa ajili ya kumsalimia nikajikuta kama nimepigwa shoti ya umeme. Nikayakumbuka mapenzi yetu ya zamani. Yeye ameoa tayari na mimi nina mchumba, lakini nakiri kuwa bado nampenda, sijui ni lini atanitoka moyoni mwangu.
Samahani kwa kuvamia jukwaa ambalo halinihusu, ila huyu bado ana ugonjwa wa facebook. maana juzi alikuPM waziri na leo unataka kupigwa mpini na boyfriend wa zamani, kwa kifupi jina lako halisi wewe ni Malaya au kahaba.
Leo nimekutana na boyfrendi wangu wa zamani. Tuliachana tukiwa form six mwaka 98. Nilipopeana nae mkono kwa ajili ya kumsalimia nikajikuta kama nimepigwa shoti ya umeme. Nikayakumbuka mapenzi yetu ya zamani. Yeye ameoa tayari na mimi nina mchumba, lakini nakiri kuwa bado nampenda, sijui ni lini atanitoka moyoni mwangu.
Samahani kwa kuvamia jukwaa ambalo halinihusu, ila huyu bado ana ugonjwa wa facebook. maana juzi alikuPM waziri na leo unataka kupigwa mpini na boyfriend wa zamani, kwa kifupi jina lako halisi wewe ni Malaya au kahaba.