Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo nimekutana na boyfrendi wangu wa zamani. Tuliachana tukiwa form six mwaka 98. Nilipopeana nae mkono kwa ajili ya kumsalimia nikajikuta kama nimepigwa shoti ya umeme. Nikayakumbuka mapenzi yetu ya zamani. Yeye ameoa tayari na mimi nina mchumba, lakini nakiri kuwa bado nampenda, sijui ni lini atanitoka moyoni mwangu.
Anajaliii! we unamjua NazJaz au unamsikia, huyo ndio mwenyewe mtoto wa Tangahongera sana kwa kuwa muwazi dadaangu...ila angalia mumeo asijue habari za huko kukutana na huyo ex wako,kingine tupa kulee huyo ex msahau umri unaenda sivyo watu watakua wana jipigia afu wanasepa