Kupenda kunaisha lini?

Kupenda kunaisha lini?

Tulia na uliye nae au tafuta utakaempenda kweli.Mwenzako alishasonga mbele we bado unang'ang'ania ya zamani!
 
Ukiamua na kuweka nia unaweza msahau, angekupenda angekutafuta ili muwe wote ,kumkuta ameoa ni kuwa anamthamin aliyemioa ,wa muhimu sasa ni huyo mchumbako anayekupenda na anataka kukuoa,hope ua more than28yrz,ukimpoteza huyo uliye naye sasa uje upate mwingne umsome mkubaliane!!utakuwa like35.think PoSitivE plan for the future girl.
 
Kitu mapenzi kilianza zamani, toka ......na mababu zetu, na hata hao mapenzi waliyakuta,Tokea enzi za adamu na Eva. NazJaz haya mambo mpaka Mkuu arudi kuchukua wateule
 
Kitu mapenzi kilianza zamani, toka ......na mababu zetu, na hata hao mapenzi waliyakuta,Tokea enzi za adamu na Eva. NazJaz haya mambo mpaka Mkuu arudi kuchukua wateule

nimekubali
 
Leo nimekutana na boyfrendi wangu wa zamani. Tuliachana tukiwa form six mwaka 98. Nilipopeana nae mkono kwa ajili ya kumsalimia nikajikuta kama nimepigwa shoti ya umeme. Nikayakumbuka mapenzi yetu ya zamani. Yeye ameoa tayari na mimi nina mchumba, lakini nakiri kuwa bado nampenda, sijui ni lini atanitoka moyoni mwangu.

Itakuwa huyo mchumba wako humpendi vizuri au uko naye basi tu kwa kuwa umri umesogea. Kama ungekuwa unampenda vizuri au mnapendana kisawasawa hata huyo boyfriend wako wa longi angekubusu (nini kukushika mkono) usingepata hisia nae tena.
 
wa mwanzo ni wa mwanzo tu hata km mngekutana baada ya miaka 100 lazima hisia zingewajia as long kuachana kwenu hakukuwa kwa shari ila kwa vile keshaoa na wewe una mchumba tayari yakupasa ujifunze kumsahau mtoe kabisa akilini asijevuruga uchumba wenu
 
Ama kweli wa kwanza ni wa kwanza, lucky me nimeolewa na wa kwanza sitapata hayo mafeelings kwa yeyote tena,mhhhh!
 
Dadaangu samahani kama ntakuwa nimekuudhi,.........Hivi huyo mchumba wako,unampenda? au umeamua uolewe nae kwa sababu umri umeenda?inaonyesha si chaguo lako kabisa,iko siku utambadilia kama kinyonga,...ni mtazamo wangu tu.
 
hongera sana kwa kuwa muwazi dadaangu...ila angalia mumeo asijue habari za huko kukutana na huyo ex wako,kingine tupa kulee huyo ex msahau umri unaenda sivyo watu watakua wana jipigia afu wanasepa
 
hongera sana kwa kuwa muwazi dadaangu...ila angalia mumeo asijue habari za huko kukutana na huyo ex wako,kingine tupa kulee huyo ex msahau umri unaenda sivyo watu watakua wana jipigia afu wanasepa
Anajaliii! we unamjua NazJaz au unamsikia, huyo ndio mwenyewe mtoto wa Tanga
 
huna msimamo wewe, utamegwa utaachwa usipobadili yako tabia.
Mwenzako kisha oa, we bado tu upoupo jirekebishe
 
Back
Top Bottom