dah, kuna demu mmja hv nilimpenda sana na nilipomweleza hisia zangu akanikubalia but nilikuwa nahisi sipendwi yani nadanganywa tu, kweli hisia zangu zilikuwa kwel sipendwii, nilituma sana vocha mbaya zaidi hakuwahi kunipigia simu nikimwambia aje magetoni hataki alikua ananiambia me nimfate kwao then tunaishia kuongea tu huku akinikumbusha nikija kwao nisisahau zawadi maonezi yenyewe hata kumshika yaani kumtomasa hataki yani na anaongea na mimi huku anachati mda wote,akinitext ujue anasababu yake but akiamua kukutafuta anakutafuta saa 6 usiku eti mchati, nikajiuliza mda wote huo alikuwa wap kunitafuta mapema yani hadi achat na wengine me ndiye nakuwa wa mwisho, ni kweli nilikuwa sipendwi hata hilo nililitambua lakini kila nikijaribu kumpotezea nashindwa yani naishia kumtafuta tena then namuomba samahani kuwa simu ilikuwa inasumbua,nilimpenda sana kwani alionekana ni mpole na mrembo pia, kiukweli nilikuwa mtumwa, nilifanya vitu vingi hata kukopa ili nimtumie tu salio... alishawahi kunambia amesafiri kaelekea masomoni but 2days later namuona mtaani kwanzia hapo akili ikafunguka japo sio sana but namshukuru Mungu ni wiki ya 2 sasa naendelea kumsahau