Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
20Una miaka mingapi
Kumbe tuko wengiWengi tunapitia hapo ila tunajikaza,shukuru umeambiwa ukweli unajua piga goti utasahau,kuliko ungewekwa dillema unajiuliza mwenyewe unajijibu mwenyewe unatuma msg hazijibiwi,unapiga simu hazipokelewi
Daa kweliSasa kama hakupendi unataka afanyeje sasa? Mapenzi ni hisia unataka akukubalie halaf aje akuumize baadae uje kutuomba ushauri jf.
Huna cha kuumia hapo,hamjafika hata kokote kaza buti japo ngumu maana saa zingine unatoka nje ya mstari mtuKumbe tuko wengi
Nikijua umri nitajua cha kumshauriUnataka kumuonea huruma ila kigezo chako kwanza unataka ujue umri wake?
20 mkuuNikijua umri nitajua cha kumshauri
ha hahahaUnataka kumuonea huruma ila kigezo chako kwanza unataka ujue umri wake?