Kupendwa ndio huku

Kupendwa ndio huku

Sisi wanaume hatupendani sisi kwa sisi. Maana kuna mpumbavu anapanga kuingilia kati penzi lako uumie tu
 
sema uandishi umenipa tabu kuelewa!,mnanikera sana nyie ambao hamuandiki "I" sie ambao tushazoea kusoma maneno kamili mnatupa tabu sana kenge kabisa!.
 
kwa hiyo msg ndio una conclude unapendwa bro? how old are you mahi?? subiri kikupige kitu kizito utaelewa tu hapo bado ukute hio msg moja kawafowadia wanaume zake kama saba hivi na wewe ukiwepo
Jamani acha kumtisha hivo,mwache aenjoy penzi 😅
 
Back
Top Bottom