Kupendwa raha nyi acheni tu

mimi bado nasubiria utusimulie kuhusu huko kupendwa unakokuzungumzia....
 
Malizia basi picha nzima Mkuu. Mlivyoshuka kituo kilichofuata yepi yalijiri?

 
Sawa, hongera kupendwa Na Mbibi
 
Acha uzuzu huyo mbibi kakutamani tu!

Halafu sio ishu kidume ku escalate mambo za kiboya ka hizi.
 

Oyaa njoo umalizie story wagonjewa huku.

Halafu nasikia siku hizi kuna wezi wa mifukoni yaani pickpockets wamewaibia watalii wa kichina maana walikuwa wamevalia kama polisi na wakawa wanawauliza ID na kama wana wallet.

Wakipewa wallet wanasepa nazo na kuiba fedha zote.

Vipi hiyo umeisikia?
 
unaongea na sim au?

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…