Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Nipo zangu nyumbani napangilia mambo yangu ya kila siku, mara ghafla naona simu inaita; kuitazama, ni namba ya mama kijacho (mchepuko).
Baada ya kupokea, mazungumzo yakawa hivi:-
Mimi: halo
Yeye: mambo vipi bebii
Mimi: Niko powa, mambo yakoje huko?
Yeye: Huku mabaya, sijisikii vizuri, nataka tutoke wote
Mimi:Twende wapi?
Yeye: Popote tu utakapotaka
Mimi: Sawa, saa 3 usiku nitakucheki
Yeye: asante mme wangu nakupenda sana
Mimi: Powa,baadaye
Hapa nilipo najiandaa kwa mtoko; msiopendwa, endeleeni kuchezea keyboard.