Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Safi sana. Mama K asipate stress.Nipo zangu nyumbani napangilia mambo yangu ya kila siku, mara ghafla naona simu inaita; kuitazama, ni namba ya mama kijacho (mchepuko).
Baada ya kupokea, mazungumzo yakawa hivi:-
Mimi: halo
Yeye: mambo vipi bebii
Mimi: Niko powa, mambo yakoje huko?
Yeye: Huku mabaya, sijisikii vizuri, nataka tutoke wote
Mimi:Twende wapi?
Yeye: Popote tu utakapotaka
Mimi: Sawa, saa 3 usiku nitakucheki
Yeye: asante mme wangu nakupenda sana
Mimi: Powa,baadaye
Hapa nilipo najiandaa kwa mtoko; msiopendwa, endeleeni kuchezea keyboard.
Ngoja nikampigishe mvinyo kwanza, angalau asahau tabu za dunia kwa muda 😀Safi sana. Mama K asipate stress.
Pambana hivyo hivyo utapataWallahi lazima namimi niopoe manzi lakini sasa na huu ukapuku sijui kama nitapendwa
Mkeo hapo unamuga unaenda shift ya night au cyo mkuu...mama kijacho (mchepuko).
Ngoja nikapige vyupa na mtoto mzuri, maisha ni haya haya; mbinguni ni hukumu tuKati ya members wasiopenda stress equation ni mmojawapo
Mbona unanionea wivu 😀😀Kuna threads ukisoma umu unajua kabisa uyu kama hakai kwa shemeji basi anakaa kwa dada/kaka yake
Huku ni msondo ngoma tuNamuhurumia huyo mama, yasije yakamkuta kama Penina wa Goba mshangazi nginjanginja komasava, alivyokula hela ya msukuma hadi akageuzwa bucha..🤣
Yuko mbali kidogoMkeo hapo unamuga unaenda shift ya night au cyo mkuu...
Hakuna kujibana, tunaishi mara moja tuHongera mkuu maisha ni mafupi ukipendwa pendeka.Ishi kama kesho haipo.Wazee wa kataa ndoa mpoooo