Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Kuna tatizo kubwa kwenyd ndoa yenu.Binadam akiwa hali chakula kama inavyotakiwa hupelekwa hosptl kwani ni lazima kutakua na tatizo.Na mke wako atakua na matatizo.Kama ham yake iko chini aeleze mtafute solution,kama hataki kuna tatizo ambalo ni serious!
Young_Master wangu, nitakupa each our bby wangu, mpaka ukinai mwenyewe! lolest! pole kaka mwaya mi no comment kwako jamani kha!Habari zenu wana jf, nimeoa na nina miaka 4 ya ndoa yangu, kadri siku zinavyokwenda napunguziwa dozi ya mapenz, zilizopita ilikuwa 5 mpaka 6 per month sasa hivi ni 1per month na anakua mkali yaani mpaka nibembeleze kama naomba employment ukipewa unaambiwa utapata tarehe kama hi next month nampenda sitaki kumsaliti naheshim ndoa yangu. Naombeni ushauri nifanyaje walau niongeze doz.
Habari zenu wana jf, nimeoa na nina miaka 4 ya ndoa yangu, kadri siku zinavyokwenda napunguziwa dozi ya mapenz, zilizopita ilikuwa 5 mpaka 6 per month sasa hivi ni 1per month na anakua mkali yaani mpaka nibembeleze kama naomba employment ukipewa unaambiwa utapata tarehe kama hi next month nampenda sitaki kumsaliti naheshim ndoa yangu. Naombeni ushauri nifanyaje walau niongeze doz.
Young_Master wangu, nitakupa each our bby wangu, mpaka ukinai mwenyewe! lolest! pole kaka mwaya mi no comment kwako jamani kha!
Sijui mnamuonea aibu kumwambia ukweli ?
Si mwambieni tu? Mnammung'unyia maneno ya nini ?
Braza mleta mada ni hivi : -
Hapo hamna ndoa! Ilikwisha expire!
Huo sio mshahara wa kupata mwezi mpaka mwezi .
umeonaeee preta??? tena kwa umpendaye?? uwiiiiiiiiiiiiiii, nampaje sasa, wadada wengine bwana...........,mmhh mi no coment! YM, jiandae nataka ujisevie mpaka useme basi. ebo!my bebii....hata kama napika huwa naacha....a a....je yeye akisema hataki....si ntakufa mie.....